
Tulifurahi sana kumkabidhi Agustino Mwalongo, tractor ya Powertrac!
Alinunua kipindi cha maonesho ya NaneNane Mbeya Tunafurahi kuwa sehemu ya safari yake ya Karibu Agustino!
Tunathamini sana uaminifu wako na tunatarajia kuendelea kukuhudumia kwa ukaribu zaidi, Wewe pia unaweza kupata tractor za Powertrac Euro 50,55, 75 na 90 tupigie simu 0748 000 665 au 0769 188 507